Waziri wa Malisili na Utalii,Dkt Hamisi Kigwangalla akizindua mkataba wa huduma bora kwa mteja wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wadau mbalimbali wa Utalii ,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha .Wengine kutoka kulia ni Kamishna Mkuu wa Uhifadhi -TANAPA ,Dkt Allan Kijazi ,Mjumbe wa Bodi -Tanapa ,Kamishna Nsato Marijani na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro.
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
MicrosoftInternetExplorer4
Waziri wa Malisili na Utalii,Dkt Hamisi Kigwangalla akizindua amzezinduaMfumo a uendeshaji wa viwango vya kimataifa (ISO 9001:2015 Quality management
system) wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wadau
mbalimbali wa Utalii ,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Mount Meru
jijini Arusha .Wengine kutoka kulia ni Kamishna Mkuu wa Uhifadhi -TANAPA
,Dkt Allan Kijazi ,Mjumbe wa Bodi -Tanapa ,Kamishna Nsato Marijani na
kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro.
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Dkt Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa utoaji tuzo kwa wadau wa utalii wakati wa hafla iliyofanyika katika hoteli ya Mount Meru jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group ,Joseph Kusaga ni miongon mwa waalikwa walioshiriki hafla ya utoaji tuzo kwa wadau mbalimbali wa Utalii.
Kamishna Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Dkt Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (TBC) Dkt Ayoub Ryoba akiwa na Mkurugenzi wa Channel ten Jafary Aniu pia walikuwa ni miongoni mwa waalikwa katika hafla hiyo.
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Dkt Hamisi Kigwangalla akiwa katika pich ya pamija na Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group ,Joseph Kusaga ,Emilian Mallya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Arumeru,Jerry Muro mara baada ya kukabidhiwa tuzo ya mshindi wa tatu katika kutangaza hifadhi za taifa .
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Dkt Hamisi Kigwangalla akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji ,Tanzania (TBC) Dkt Ayoub Ryoba (kushoto) ,Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jerry Muro (kulia).
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Dkt Hamisi Kigwangalla akikabidhi tuzo kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Zara Adventure baada ya kuibuka mshindi wa Jumla kwa watoa huduma za Utalii katika Hifadhi za Taifa .
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Dkt Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mshindi wa jumla ,Zainabu Ansel ,Mkurugenzi wa Kampuni ya Zara Adventure pamoja na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi -TANAPA ,Dkt Allan Kijazi ,Mjumbe wa Bodi -TANAPA ,Kamishna Nsato Marijani na Mkuu wa wilaya ya Arumeru ,Jeryy Muro.
Washindi wa tuzo za Gold wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Malisili na Utalii ,Dkt Hamisi Kigwangalla.Quality management system pamoja na mkataba wa huduma bora kwa mteja .
kwa kasi kubwa kabisa.”aliongeza Dkt Kigwangalla.
wanazoendelea kufanya ziwe chachu katika kuimarisha ushindani katika utoaji
huduma bora katika sekta ya utalii ambapo zitasaidia kukuza uchumi wa nchi
yetu.
kwenye maeneo ya Kusini na Magharibi mwa nchi yetu.”alisema Dkt Kigwangalla.
Huduma kwa Mteja utawezesha utoaji huduma kwa Haraka, ufanisi na kwa wakati ili
kuondoa malalamiko na urasimu usio na tija kwa pande zote mbili.
mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi nchini.”alisema Kamishna Nsato.
inatambua mchango mkubwa wa wadau wetu wote katika sekta ya utalii kwa jitihada
zote wanazozifanya katika sekta hiyo ikiwemo kuiletea heshima nchi.
limefanikiwa kuongeza ulinzi wa rasilimali zetu, tutaendelea kuimarisha
miundombinu ili kuwezesha kufikika kwa urahisi katika hifadhi zetu.”alisema Dkt
Kijazi .
Chambulo ameishukuru TANAPA kwa tuzo hizo na kwmba shirika hilo limekuwa
likijitoa kwa wadau wa utalii hali ambayo imechangia kampuni hizo kukua
kiuchumi.
uharibufu wa hifadhi zetu na nina kukabidhi magari mawili kwa ajili ya zoezi
hilo”alisema Chambulo.



