Home Burudani AMBER LULU AMEJILAUMU KUTUMIA VIBAYA FEDHA ZA RAMBIRAMBI ZA MAREHEMU MAMA YAKE

AMBER LULU AMEJILAUMU KUTUMIA VIBAYA FEDHA ZA RAMBIRAMBI ZA MAREHEMU MAMA YAKE

0

**********************

NA EMMANUEL MBATILO

Amber Lulu amesema kitu ambacho hatakisahau kwenye maisha yake ni kutumia michango ya rambirambi ya Marehemu mama yake kumwezesha kupanga na kutafuta maisha

Umber Lulu amesema alipitia wakati mgumu wakati wa kifo cha mama yake, ikiwemo kupoteza dira ya kusonga mbele, lakini baada ya muda alianza kuhangaika na kutafuta jinsi ya kujikomboa kimaisha.

“Ukweli ni kwamba nilipitia maisha magumu ambayo siwezi kusema, hasa kipindi cha msiba wa mama, ukweli nilikosa mwongozo kabisa kwa kuwa mama yangu alikuwa kila kitu kwangu, nakumbuka pesa za michango ya mama ndizo nilizitumia kupangisha nyumba kwa mara ya kwanza” alisema Amber Lul