Home Mchanganyiko Tigo yawapeleka washindi watatu Misri kushuhudia AFCON

Tigo yawapeleka washindi watatu Misri kushuhudia AFCON

0

Mtaalamu wa Huduma za ziada kutoka Tigo Ikunda Ngowi aimkabidhi Godfrey Muta ambaye ni mmoja kati ya washindi watatu wa droo ya kwanza ya Promosheni ya Soka la Afrika tiketi ya kwenda nchini Misri kushuhudia michuona ya mataifa ya Afrika.

Mtaalamu wa Huduma za ziada kutoka Tigo Ikunda Ngowi(wa pili kulia)akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuwakabidhi washindi wa promosheni ya Soka la Afrika tiketi za kwenda kushuhudia mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika nchini Misri. Kulia ni mshindi kutoka Tanga Rehema Kassim na wa kwanza kushoto ni Godfrey Muta akifuatiwa na Kalaghe Rashidi wote kutoka Dar es Salaam

Washindi wa promosheni ya Soka la Afrika inayoendeshwa na kampuni ya Tigo wakiwa na nyuso za furaha muda mfupi baada ya kukabidhiwa tiketi za kwenda nchini Misri kushuhudia michuona ya mataifa ya Afrika. Wa kwanza kulia ni Kalaghe Rashid akifuatiwa na Rehema Kassim pamoja na Godfrey Muta.

Mtaalamu wa Huduma za ziada kutoka Tigo Ikunda Ngowi aimkabidhi Rehema Kassim ambaye ni mmoja kati ya washindi watatu wa droo ya kwanza ya Promosheni ya Soka la Afrika tiketi ya kwenda nchini Misri kushuhudia michuona ya mataifa ya Afrika.