Home Mchanganyiko PROF. MCHOME ATEMBELEA MKOA WA SONGWE KUKAGUA MSAADA WA SHERIA

PROF. MCHOME ATEMBELEA MKOA WA SONGWE KUKAGUA MSAADA WA SHERIA

0

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof.Sifuni Mchome akisikiliza Taarifa ya utekelezaji wa shughuli za msaada wa kisheria mkoani Songwe kutoka kwa Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Songwe

Prof. Mchome akizungumza baada ya kutembelea kituo cha msaada wa Sheria Cha Talaleca mjini Vwawa

Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kituo cha WSCO kinachotoa msaada wa sheria wilayani Mbozi

Prof. Mchome akitoa maelekezo baada ya kumaliza kazi ya ukaguzi wa kituo kinachotoa msaada wa sheria cha WSCO

Prof. Mchome akikagua jalada la Taarifa mbalimbali za utekelezaji alipotembelea kituo cha msaada wa kisheria cha WSCO cha Mbozi