Home Mchanganyiko MAAFISA WAKALA WA VIPIMO WATOA ELIMU KWA WAKULIMA KAHAWA WILAYANI KARAGWE MKOANI...

MAAFISA WAKALA WA VIPIMO WATOA ELIMU KWA WAKULIMA KAHAWA WILAYANI KARAGWE MKOANI KAGERA

0

 

Maafisa wa Wakala wa vipimo wakitoa elimu kwa mkulima wa kahawa mkoani kagera katika wilaya ya karagwe katika chama cha msingi cha Nyakahanga namna ya kutambua mizani sahihi na ile isiyo sahihi

Wakulima wa kahawa pamoja na viongozi wa vyama vya msingi wakiapishwa na mkuu wa wilaya ya karagwe Bw. Godrefy muheruka kuwa hawatachakachua mizani ya kununulia kahawa.

Mkuu wa wilaya ya karagwe akifuatilia elimu namna ya kutambua mizani iliyohakikiwa na Wakala wa vipimo ili kuwalinda wakulima.