KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo wakati alipotembelea
mradi wa Kunusuru vyanzo vya maji na Matumizi Bora ya Ardhi (Securing Watershed through Sustainable Land Management)
wilayani Muheza unaotekelezwa na Bonde la Maji la Pangani
pamoja na Bonde la Wami Ruvu kwa kushirikiana na Mamlaka za Majisafi na Usafi
wa Mazingira Jijini Tanga, Dar es Salaam na Morogoro (Tanga UWASA, DAWASA na
MORUWASA

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo kushoto akitazama
mpaka wa bwawa la maji la Mabayani Jijini Tanga wakati wa ziara yake
mkoani Tanga kulia ni Mkurugenzi wa Tanga Uwasa Mhandisi Geofrey Hilly

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo kushoto akitoka kutazama
mpaka wa bwawa la maji la Mabayani Jijini Tanga wakati wa ziara yake
mkoani Tanga

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo kushoto
akimsikiliza kwa umakini Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa
Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Goefrey Hilly kulia aliyevaa koti wakati wa
ziara yake

AFISA Uhusiano wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini
Tanga ( Tanga Uwasa) Dorrah Kilo kushoto akimuelezea jambo Katibu Mkuu
wa Wizara ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo wakati wa ziara yake ya siku
moja Jijini Tanga na wilayani Muheza

Muonekano wa eneo la kutirirsha maji eneo la bwawa la Mabayani Jijini
Tanga mara baada ya Maji kujaa bwawani kama linavyoonekana wakati wa
ziara hiyo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo kushoto akimtua
mama ndoo wakati wa ziara yake akiwa kwenye eneo la Mashewa wilayani
Muheza mara baada ya kutembelea mradi ya upandaji wa vitalu vya miti ya
mitikiti.

Mwenyekiti wa Kikundi cha Uwamakizi wilayani Muheza Twaha Rajabu kulia
akimuonyesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo namna
wanavyopanda miti ya mitikiki wanaoshuhudia wa kwanza kushoto ni
Mkurugenzi wa Tanga Uwasa Mhandisi Geofrey Hilly

Mwenyekiti wa Kikundi cha Uwamakizi wilayani Muheza Twaha Rajabu
kushoto akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji katikati Proffesa Kitila
Mkumbo na Mkurugenzi wa Tanga Uwasa Mhandisi Geofrey Hilly wakati wa

Mwenyekiti wa Uwamakizi wilayani Muheza Twaha Rajabu kushoto
akimkabidhi zawadi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa
Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Geofrey Hilly wakati wa
ziara ya Katibu Mkuu wa wilaya ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo
anayeshuhudia katikati

Mwenyekiti wa Uwamakizi wilayani Muheza Twaha Rajabu kushoto akimkabidhi
zawadi Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo kulia
anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Tanga Uwasa Mhandisi Geofrey Hilly

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji Proffesa Kitila Mkumbo
ameagiza mabonde yote tisa ya Maji nchini kuhakikisha wanafanya utafiti ili kuweza
kutambua mazao rafiki ambayo wananchi wanaweza kulima bila kuathiri vyanzo vya
maji vilivyopo ili viendelee kuwa endelevu.

Proffesa Mkumbo aliyasema hayo leo wakati alipotembelea
mradi wa Kunusuru vyanzo vya maji na Matumizi Bora ya Ardhi (Securing Watershed through Sustainable Land Management)
unaotekelezwa na Bonde la Maji la Pangani
pamoja na Bonde la Wami Ruvu kwa kushirikiana na Mamlaka za Majisafi na Usafi
wa Mazingira Jijini Tanga, Dar es Salaam na Morogoro (Tanga UWASA, DAWASA na
MORUWASA)

Pia Katibu huyo
alitembelea Umoja wa Wakulima wa Hifadhi Mazingira Kihuwi Zigi (UWAMAKIZI) huku
akionyeshwa kuridhishwa na namna wanavyotunza vyanzo vya maji kwenye maeneo yao
jambo ambalo alisema linapaswa kuigwa mfano na maeneo mengine hapa nchini.

Alisema katika jambo
hilo wananchi wanapaswa kutambua mazao ambayo wanaweza kulima kwenye maeneo
hayo ambayo yatakuwa tija kwao kuwakomboa kiuchumi bila kuleta athari za
uharibifu wa vyanzo vya maji vilivyopo ili viendelee kuwepo kwa manufaa vya
vizazi vya sasa na vijavyo.

“Mazao ni mengi
mnaweza kulima kwenye maeneo mengine hivyo lakini ni muhimu kwamba mhakikishe
mnafanya utafiti kuweza kubaini ni mazao gani mnaweza kulima bila kuathiri
vyanzo vya maji “Alisema

Aidha alisema baada ya kutembelea na kuona mafanikio
yaliyopo amesema amejifunza kwamba mradi ambao wananchi wakishirikishwa na
kushiriki ikiwemo kuelimishwa wanakuwa msaada mkubwa kwenye kutunza vyanzo vya
maji kama alivyoona kwenye Mito hiyo aliyotembelea maji ni mazuri kabisa.

Katibu huyo alisema pia utunzaji mzuri wa maji hayo
umesaidia kulinda bwawa la Mabayani na kupelekea gharama za kusafisha maji
kupungua huku wananchi wakishirikishwa kutunza bwawa hilo kupitia mradi huo ambao
pia umesaidia kuweka mipaka kati ya
bwawa na walipo wananchi.

Hata hivyo alieleza kwamba katika maeneo hayo mradi
unapotekelezwa Mto Zingi na Ruvu wananchi wameelimishwa kulima mazao ambayo ni
rafiki kwa mto ambayo hayana athari hivyo Agizo la Rais Dkt John Magufuli la
kutaka wananchji wasiondolee kwenye mita sitini ila waelimishwe limetekelezwa
kwa asilimia kubwa Tanga kupitia Tanga
Uwasa na hivyo hakuna ugomvi.