Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam leo
Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo anayeagana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa afrika Mashariki Mhe. Faraji Kasidi Mnyepe baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda wakati wakisumbiri ili kumuaga mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo anayeagana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Profesa palagamaba Kabudi baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo anayeagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana kwa furaha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia 54 ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili leo Juni
14, 2019
Na Mwandishi wetu, Nzega MWENGE wa uhuru unatarajiwa kuzindua, kukagua, kutembelea na kuweka jiwe la msingi, kwenye miradi ya thamani ya shilingi bilioni 4.1…
Mwamvua Mwinyi, Pwani Septemba 18, 2026 WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo (Mb), amewaagiza Makamishna wa Ardhi wa mikoa…