Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Avemaria Semakafu akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais –TAMISEMI, Bibi. Odilia Joseph Mushi akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Kaimu Kamishna wa Elimu Tanzania, Lyabwna Mtahabwa akielezea tuzo za Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo hizo leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato ya jijini Dodoma wakifuatilia hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Miongoni mwa wanafunzi bora wa Kidato cha Sita mwaka 2018 tokea Shule ya Sekondari Mvumi, Erick Maximilian akipokea cheti na zawadi pesa taslimu shilingi milioni 1.5 toka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Pamoja na kuwa mwanafunzi huyo kuwa ni mwenye mahitaji maalum.
Meneja wa Shule ya Kaizirege and Kemebos toka Bukoba,Eulogius William akipokea cheti na tuzo toka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako kutambua mchango wa Shule zilizofanya vizuri katika matokeo ya mwaka 2018 wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Pamoja na kuwa mwanafunzi huyo kuwa ni mwenye mahitaji maalum.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Darasa la Saba 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Kidato cha Nne mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Kidato cha Sita mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya hafla ya Siku ya Elimu ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla hiyo leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.
(Picha na: Frank Shija –MAELEZO)
……………….
Na.Alex Sonna,Dodoma
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, amesema serikali kupitia wizara ya elimu inaendelea kuboresha miondombinu katika elimu, ili kuhakikisha inaboresha sekta ya elimu hapa nchini.
Ameyasema hayo leo Jijini Dodoma katika maadhimisho ya wiki ya elimu iliyoenda sambamba na kutoa tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani yao ya mwisho ya kumaliza elimu ya Msingi na Sekondari hapa nchini tukio lililofanyika Shule ya sekondari ya wasichana Msalato.
Amesema serikali inafanya jitihada kubwa kuhakikisha inatoa elimu bora, ikiwamo kukarabati shule kongwe pamoja na vyuo vya ngazi zote sambamba na kuweka usimamizi thabiti katika vyuo ambayo vinazalisha walimu ili kupata walimu bora.
“Sisi kama serikali tunafanya jitihada kubwa kuhakikisha elimu yetu inapanda, tunahakikisha shule zote kongwe tunazikarabati angalau ziendane na hadhi ili watoto wetu wanasoma katika mazingira mazuri tukiwa pia tunasimamia kikamilifu vyuo vyetu vizalishe walimu ambao watatufikisha tunapotaka” amesema.
Katika sekta ya elimu ya ufundi amesema serikali imetenga kiasi cha bilioni ishirini na mbili(22) kujenga chuo cha veta katika mkoa wa Kagera ili kuinua sekta ya elimu ya ufundi sambamba na kuvikarabati vyuo vya veta kote nchini pamoja na kujenga vyuo vipya katika wilaya mbalimbali hapa nchini ili kuinua elimu ya ufundi.
Katika elimu ya juu amesema serikali imeboresha vyuo vikuu vyote na imejenga maktaba kubwa chuo kikuu cha Dar es saalam, yenye uwezo wa kubeba wanafunzi wengi kwa wakati mmoja, pia imetenga zaidi ya bilioni sita(6) kujenga hosteli katika chuo kikuu cha Mzumbe itakayoondoa changamoto ya makazi kwa wanafunzi.
Amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii na kuacha uzembe, kwani serikali imekuwa ikifanya jitihada kubwa katika kuboresha elimu, wao kama hawatafanya jitihada kusoma itakuwa kazi bure.
“Niwaambie wanafunzi serikali hata ikijenga magorofa au kuleta vitabu lori zima kama hamjitumi kusoma basi ni kazi bure ninashoowaomba ni ninyi kujituma katika kusoma ili jitihada hizi za serikali ziweze kuzaa matunda” amesema.
Kwa upande wake Mkurugenzi msaidizi wa idara ya elimu kutoka TAMISEMI, Bi, Odilia Mushi, amevitaka vitengo vyote ya elimu kutoka TAMISEMI kuhakikisha wanaimarisha malezi kwa watoto ili waweze kupata matokeo mazuri.
Amesema tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa ufaulu hapa nchini unaongezeka na umekuwa ukipanda mwaka baada ya mwaka na kuwataka wasimamizi kuweka njia nzuri katika kuhakikisha ufaulu unaongezeka zaid.
Katika tuzo hizo zimetolewa kwa wanafunzi kumi (10) bora wa shule za msingi waliofanya vizuri mitihani yao ya darasa la saba, katika ngazi hiyo wanafunzi hao wamepewa vyeti na fedha kiasi cha laki tano(500,000) kila mmoja.
Kwa upande wa kidato cha nne wanafunzi kumi bora katika ngazi hiyo wametuzwa vyeti na fedha kiasi cha milioni moja(1,000,000) kila mmoja, kwa ngazi ya kidato cha sita waliwekwa katika makundi matatu na kuwa na idadi ya wanafunzi tisa(9) ambapo kila mmoja ametuzwa vyeti na fedha taslimu milioni moja na laki tano(1,500,000).
Zawadi nyingine zimeenda kwa shule kumi bora kwa kila ngazi na kutunukiwa vyeti kila shule, na shule zile zilizoongeza ufaulu kutoka ngazi moja kwenda nyingine kwa kila ngazi ikiwa ni shule za msingi na sekondari kidato cha nne na sita.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Avemaria Semakafu akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais –TAMISEMI, Bibi. Odilia Joseph Mushi akizungumza wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.Kaimu Kamishna wa Elimu Tanzania, Lyabwna Mtahabwa akielezea tuzo za Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo hizo leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato ya jijini Dodoma wakifuatilia hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.Miongoni mwa wanafunzi bora wa Kidato cha Sita mwaka 2018 tokea Shule ya Sekondari Mvumi, Erick Maximilian akipokea cheti na zawadi pesa taslimu shilingi milioni 1.5 toka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Pamoja na kuwa mwanafunzi huyo kuwa ni mwenye mahitaji maalum.Meneja wa Shule ya Kaizirege and Kemebos toka Bukoba,Eulogius William akipokea cheti na tuzo toka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako kutambua mchango wa Shule zilizofanya vizuri katika matokeo ya mwaka 2018 wakati wa hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Pamoja na kuwa mwanafunzi huyo kuwa ni mwenye mahitaji maalum.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Darasa la Saba 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Kidato cha Nne mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Kumi bora wa Kidato cha Sita mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya hafla ya Siku ya Elimu ya Siku ya Elimu iliyoambatana na utoaji tuzo kwa Wanafunzi Bora wa Darasa la Saba, Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa Mwaka 2018 mara baada ya kumaliza hafla hiyo leo jijini Dodoma. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana Msalato na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.(Picha na: Frank Shija –MAELEZO)……………….Na.Alex Sonna,DodomaWaziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, amesema serikali kupitia wizara ya elimu inaendelea kuboresha miondombinu katika elimu, ili kuhakikisha inaboresha sekta ya elimu hapa nchini.Ameyasema hayo leo Jijini Dodoma katika maadhimisho ya wiki ya elimu iliyoenda sambamba na kutoa tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani yao ya mwisho ya kumaliza elimu ya Msingi na Sekondari hapa nchini tukio lililofanyika Shule ya sekondari ya wasichana Msalato.Amesema serikali inafanya jitihada kubwa kuhakikisha inatoa elimu bora, ikiwamo kukarabati shule kongwe pamoja na vyuo vya ngazi zote sambamba na kuweka usimamizi thabiti katika vyuo ambayo vinazalisha walimu ili kupata walimu bora.“Sisi kama serikali tunafanya jitihada kubwa kuhakikisha elimu yetu inapanda, tunahakikisha shule zote kongwe tunazikarabati angalau ziendane na hadhi ili watoto wetu wanasoma katika mazingira mazuri tukiwa pia tunasimamia kikamilifu vyuo vyetu vizalishe walimu ambao watatufikisha tunapotaka” amesema.Katika sekta ya elimu ya ufundi amesema serikali imetenga kiasi cha bilioni ishirini na mbili(22) kujenga chuo cha veta katika mkoa wa Kagera ili kuinua sekta ya elimu ya ufundi sambamba na kuvikarabati vyuo vya veta kote nchini pamoja na kujenga vyuo vipya katika wilaya mbalimbali hapa nchini ili kuinua elimu ya ufundi.Katika elimu ya juu amesema serikali imeboresha vyuo vikuu vyote na imejenga maktaba kubwa chuo kikuu cha Dar es saalam, yenye uwezo wa kubeba wanafunzi wengi kwa wakati mmoja, pia imetenga zaidi ya bilioni sita(6) kujenga hosteli katika chuo kikuu cha Mzumbe itakayoondoa changamoto ya makazi kwa wanafunzi.Amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii na kuacha uzembe, kwani serikali imekuwa ikifanya jitihada kubwa katika kuboresha elimu, wao kama hawatafanya jitihada kusoma itakuwa kazi bure.“Niwaambie wanafunzi serikali hata ikijenga magorofa au kuleta vitabu lori zima kama hamjitumi kusoma basi ni kazi bure ninashoowaomba ni ninyi kujituma katika kusoma ili jitihada hizi za serikali ziweze kuzaa matunda” amesema.Kwa upande wake Mkurugenzi msaidizi wa idara ya elimu kutoka TAMISEMI, Bi, Odilia Mushi, amevitaka vitengo vyote ya elimu kutoka TAMISEMI kuhakikisha wanaimarisha malezi kwa watoto ili waweze kupata matokeo mazuri.Amesema tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa ufaulu hapa nchini unaongezeka na umekuwa ukipanda mwaka baada ya mwaka na kuwataka wasimamizi kuweka njia nzuri katika kuhakikisha ufaulu unaongezeka zaid.Katika tuzo hizo zimetolewa kwa wanafunzi kumi (10) bora wa shule za msingi waliofanya vizuri mitihani yao ya darasa la saba, katika ngazi hiyo wanafunzi hao wamepewa vyeti na fedha kiasi cha laki tano(500,000) kila mmoja.Kwa upande wa kidato cha nne wanafunzi kumi bora katika ngazi hiyo wametuzwa vyeti na fedha kiasi cha milioni moja(1,000,000) kila mmoja, kwa ngazi ya kidato cha sita waliwekwa katika makundi matatu na kuwa na idadi ya wanafunzi tisa(9) ambapo kila mmoja ametuzwa vyeti na fedha taslimu milioni moja na laki tano(1,500,000).Zawadi nyingine zimeenda kwa shule kumi bora kwa kila ngazi na kutunukiwa vyeti kila shule, na shule zile zilizoongeza ufaulu kutoka ngazi moja kwenda nyingine kwa kila ngazi ikiwa ni shule za msingi na sekondari kidato cha nne na sita.