Home Michezo HAZARD ATAMBULISHWA RASMI BERNABEU KUWA MCHEZAJI MPYA WA REAL MADRID

HAZARD ATAMBULISHWA RASMI BERNABEU KUWA MCHEZAJI MPYA WA REAL MADRID

0

Rais wa Real Madrid, Florentino Perez akimkabidhi mchezaji mpya, Eden Hazard jezi ya klabu hiyo wakati wa utambulisho wake leo Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 150 kutoka Chelsea Mbelgiji huyo akisaini mkataba wa miaka mitano kwa mshahara wa Pauni 400,000 kwa wiki PICHA ZAIDI SOMA  HAPA