Home Mchanganyiko NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AMEWATAKA WADAU WA UTALII KUBUNI TEKNOLOJIA...

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AMEWATAKA WADAU WA UTALII KUBUNI TEKNOLOJIA MPYA YA KUHIFADHI MAZINGIRA

0

 

*****************************************

 

Na Gladness Mushi Arusha

Naibu waziri wa mali asili na utalii mheshimiwa  kostantine kanyasu amewataka wadau wa utalii kuunga mkono jitiada zinazofanywa na taasis binafasi za kutihibiti uharibifu wa mazingira kwa kupitia vyombo vya usafiri.

Mheshimiwa kanyasu  ameyasema hayo katika maonyesho ya  kili Fair yaliyofanyika katika  viwanja TGT vilivyopo maeneo ya kisongo  mapema jana . Mara baada ya kutembelea banda la rsa na kuonateknolojia mpya ya chupa za maji.

kanyasu alisema kuwa teknolojia ambayo inatumiwa na kampuni hiyo ya RSA ni nzuri na inatakiwa kuungwa mkono na kila mdau wa utalii kwani itatumika kuyatunza na kuhidahi mazingira

alidai kuwa mazingira hasa ya kuwabeba watalii yanatakiwa kulindwa kwa kuwa kama uchafu au chupa za maji zitasambaa ovyo  pembezoni mwa barabara ni wazi lkuwa watalii hao wanaokuja kutembelea taifa la tanzania wataondoka na picha ambayo sio nzuri hata kidogo

Kwa upande wake afisa masoko wa kampuni  inayohusika na ubunifu wa magari ya utalii ya rsa bwana viraj parmar amesema kufuatia serikali kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nao wameunga mkono jitiada za kubuni chupa za maji ambazo hazitaweza kuathiri mazingira pindi watalii wanapokuwa hifadhini.

mbunge wa jimbo la arusha mjini ambae pia ni mjumbe wa kamati ya mali asili na utalii godles  lema amesema ni vema serikali ikaunga mkono jitiada  zilizofanywa na kampuni hiyo za kuthibiti  vifungashio vya plastiki tiki kama ilivyofanya kampuni ya rsa ili kutunza mazingira haswa kwenye mbuga za wanyam