RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wa Kampuni ya Okan kutoka Nchini Uturuki.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania kushoto Mhe. Ali Davutaglu,Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan, Bwa. Bekir Okan na Ugur Erkray, wakiwa katika mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan ya Uturuki Bwa. Bekir Okan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davuttaglu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Katika jitihada za kukuza ushirikiano kati ya taasisi za mafunzo na wenye viwanda na waajiri, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,…
Na Ashrack Miraji Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Mhe. Hassan Bomboko, ameendelea na ziara zake katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo…