Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFIKA KATIKA SOKO LA FERRY WAKATI ALIPOKUWA KATIKA...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFIKA KATIKA SOKO LA FERRY WAKATI ALIPOKUWA KATIKA MATEMBEZI YA JIONI

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wafanyabiashara wa Samaki katika Soko la Samaki la Ferry kuhusu
umuhimu wa kutumia mifuko mbadala na kuachana na kutumia mifuko
ya plastiki wakati alipopita katika matembezi ya jioni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akinunua samaki na
kuwahifadhi katika kikapu chake cha kiasili wakati alipokuwa
matembezini katika maeneo hayo ya Ferry.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Samaki mbalimbali
katika Soko la Ferry mara baada ya kufika eneo hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amebeba samaki wake
kwa kutumia Kikapu mara baada ya kuwanunua katika Soko la Samaki
la Ferry jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Samaki kabla ya
kumnunua kutoka kwa mfanyabiashara wa Samaki Abraham Kaberege
wakati alipokuwa katika matembezi ya jioni katika maeneo ya Soko hilo la
Ferry jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akinunua samaki huyo mara
baada ya kumkagua.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wauza kahawa
katika eneo la Soko la Ferry ambapo aliagiza kuboreshwa kwa sehemu ya
biashara hiyo kuanzia siku ya kesho. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Cristian Nyoni
mlemavu asiyeona ambaye anafanya biashara ya kuuza Pilipili katika
soko la Ferry jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya majengo
katika soko la Ferry ambalo alitoa kiasi cha Shilingi milioni Ishirini. Rais
Dkt. Magufuli hakufurahishwa na utumikaji wa fedha hizo katika ujenzi
huo ambao bado haujakamilika.