Home Mchanganyiko MAJALIWA AFUNGUA GEREZA LA WILAYA YA RUANGWA

MAJALIWA AFUNGUA GEREZA LA WILAYA YA RUANGWA

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la Wilaya ya Ruangwa kufungua Gereza hilo, Juni 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la Wilaya ya Ruangwa kuzindua Gereza hilo, Juni 3, 2019. Kulia ni Mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike wakati alipowasili kwenye viwanja vya Gereza la wilaya ya Ruangwa kufungua Gereza hilo, Juni 3, 2019. Katikati ni mkewe Mary.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Askari Magereza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kabla ya kufungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa, June 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wa tatu kulia) wakifungua Gereza la wilaya ya Ruangwa Juni 3, 20, 19. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa , wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na kushoto ni Kamishina Jenerali wa Magereza, Phaustine Kisike. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary ((wa pili kulia) wakitazama gari alilolitoa Waziri Mkuu kwa Gereza la Wilaya ya Ruangwa wakati alipofungua Gereza hilo, Juni 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Gereza la Wilaya ya Ruangwa Juni 3, 2019. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)