Home Mchanganyiko IGP SIRRO ATAKA UPELELEZI WA KESI UKAMILIKE HARAKA

IGP SIRRO ATAKA UPELELEZI WA KESI UKAMILIKE HARAKA

0

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari (hawapo
Pichani) wanaopata Mafunzo ya Upelelezi katika Chuo cha Maafisa wa Polisi
Kurasini, Dar es salaam, ambapo IGP Sirro aliwataka askari hao kuhakikisha kuwa
upelelezi wa kesi unakamilika haraka. Picha na Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (wapili kulia), akimsikiliza Naibu
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCP Charles Kenyera, wakati akitoa
hotuba mbele ya askari (hawapo Pichani) wanaopata Mafunzo ya Upelelezi
kwenye Chuo cha Maafisa wa Polisi Kurasini, Dar es salaam. Picha na Jeshi la
Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsikiliza Rais wa kampuni ya Huawei
Kanda ya Afrika, Leo Chen, alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi
hilo jijini Dar es salaam na kujadiliana masuala mbalimbali ikiwemo namna
mifumo ya tekinolojia ya mawasiliano inavyoweza kufanyakazi kwenye suala la
kuwabaini wahalifu. Picha na Jeshi la Polisi.