Home Mchanganyiko Mwalimu Nyerere’s Beatification mass in Uganda Yesterday

Mwalimu Nyerere’s Beatification mass in Uganda Yesterday

0

*****************************************8

Kila Juni mosi ya kila mwaka, ni siku ya kumuombea baba wa taifa mwalimu
Julius Kambarage Nyerere kuwa Mwenyeheri na hatimaye kuwa Mtakatifu.
Ibada hiyo hufanyika katika kanisa la watakatifu mashahidi wa Uganda,
Parokia ya Namugongo, Kampala nchini Uganda. Katika siku Rais Yoweri
Kaguta Museven aliahidi kuhudhuria kila itakaofanyika ili kuenzi mchango
wa Marehemu Baba wa Taifa kwa Tanzania na Uganda na kwa Afrika nzima.

Toka Ibada za kumuombea baba wa taifa zianze miaka sita iliyopita, Baba
wa Taifa Marehemu Julius Nyerere sasa hivi ni mmoja wa Watendakazi wa
Mungu, Baada ya hatua hii atatangazwa kuwa mwenyeheri na baada ya hapo
atatangazwa kuwa mtakatifu.