Home Mchanganyiko DIT YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA ELIMU NA MAFUNZO JIJINI DODOMA

DIT YASHIRIKI MAONESHO YA KWANZA YA ELIMU NA MAFUNZO JIJINI DODOMA

0

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto,akingalia na ubunifu unaotumiwa na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inavyobadilisha mfumo wa gari kutoka kutumia mfumo wa petroli kwenda Gesi, Pia Afurahishwa na Mfumo huo wa Kutumia Gesi Asilia ya Tanzania unavyopunguza gharama za uendeshaji Magari hadi nusu.

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto,akipata maelezo kutoka kwa Mhadhiri wa DIT Dr.Esebi Nyari katika maonesho ya Kwanza ya Elimu na Mafunzo yaliyofanyika jijini Dodoma na kushangazwa na ubunifu unaotumiwa na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inavyobadilisha mfumo wa gari kutoka kutumia mfumo wa petroli kwenda Gesi, Pia Afurahishwa na Mfumo huo wa Kutumia Gesi Asilia ya Tanzania unavyopunguza gharama za uendeshaji Magari hadi nusu.

Mhadhiri wa DIT Dr.Esebi Nyari,akimpa maelezo ya kina Naibu Waziri  wa Wizara ya mifugo na uvuvi Abdallah Ulega,alipotembelea banda la DIT katika maonesho ya Kwanza ya Elimu na Mafunzo yaliyofanyika jijini Dodoma na kushangazwa na ubunifu unaotumiwa na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inavyobadilisha mfumo wa gari kutoka kutumia mfumo wa petroli kwenda Gesi, Pia Afurahishwa na Mfumo huo wa Kutumia Gesi Asilia ya Tanzania unavyopunguza gharama za uendeshaji Magari hadi nusu.

Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa Mhadhiri wa DIT Dr.Esebi Nyari (hayupo pichani) walipotembelea banda la DIT kujionea kazi nzuri inayotolewa katika maonesho ya Kwanza ya Elimu na Mafunzo yaliyofanyika jijini Dodoma huku kushangazwa na ubunifu unaotumiwa na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inavyobadilisha mfumo wa gari kutoka kutumia mfumo wa petroli kwenda Gesi, Pia Afurahishwa na Mfumo huo wa Kutumia Gesi Asilia ya Tanzania unavyopunguza gharama za uendeshaji Magari hadi nusu.

Mhadhiri wa DIT Dr.Esebi Nyari wakitoa Elimu kwa wananchi ambao walitembelea banda la DIT kujionea kazi nzuri inayotolewa katika Maonesho ya Kwanza ya Elimu na Mafunzo yaliyofanyika jijini Dodoma huku kushangazwa na ubunifu unaotumiwa na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inavyobadilisha mfumo wa gari kutoka kutumia mfumo wa petroli kwenda Gesi, Pia Afurahishwa na Mfumo huo wa Kutumia Gesi Asilia ya Tanzania unavyopunguza gharama za uendeshaji Magari hadi nusu.

Sehemu ya Wanachi wa mkoa wa Dodoma wakifurahishwa kuona gari inayotumia gasi yetu asilia (natural gas) wakati wa Maonesho ya vyuo vya ufundi na taasisi za ufundi inayotolewa na Taasisi ya Technolojia Dar es salaaam DIT