Home Uncategorized WAFANYAKAZI WIZARA YA AFYA ZANZIBAR WAPEWA ELIMU YA UTUMISHI WA UMMA

WAFANYAKAZI WIZARA YA AFYA ZANZIBAR WAPEWA ELIMU YA UTUMISHI WA UMMA

0

Afisa Mchambuzi Kazi Ofis ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Maulid Shaib Amada akitoa mada ya upimaji utendaji kazi watumishi wa umma kwa wafanyakazi wa Wizara ya Afya, hafla iliyofanyika Ukumbi wa mikutano Wizara ya Afya Mnazimmoja.