Msajili Msaidizi kutoka kitengo cha Ubunifu wa Wakala wa Usajili wa
Biashara na Leseni nchini (BRELA) Suzana Senso akitoa elimu kwa
wanafunzi wa shule ya Msingi Mwakidila ambao walitembelea Banda leo
lililopo eneo la Mwahako Jijini Tanga kunakofanyika maonyesho ya saba
ya Biashara ya Kimataifa

Biashara na Leseni nchini (BRELA) Suzana Senso kushoto akiwa na kikundi
cha Strong Women Group cha watu sita wakiwa wamepata cheti chao cha
usajili
cha jina la Biashara kwenye maonyesho ya Tanga Trade Fair 2019

WAKALA wa
Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA) umesema kwamba wameamua
kushiriki maonyesho ya saba ya Biashara ya Kimataifa mkoani Tanga ili
waweze kufanya usajili wa papo kwa papo majina ya biashara.

Hayo
yalisemwa leo na Msajili Msaidizi kutoka kitengo cha Ubunifu wa Wakala
huo Suzana Senso wakati akizungumza na vyombo vya habari mjini hapa
kuhusu uwepo wao kwenye maonyesho hayo yanayofanyika kwenye viwanja vya
Mwahako Jijini Tanga.

Alisema baada ya kupata mwaliko kutoka
TCCIA na hivyo kushiriki kwenye maonyesha hayo watakuwa wakitoa huduma
za usajili wa makapuni, majina ya biashara na nembo za biashara

“Kwa
kweli niwaambie wakazi wa mkoa huu wa Tanga na mikoa ya jirani
wachangamkie fursa hii ya kuweza kutumia muda huu kuweza kusajili majina
ya biashara zao, makampuni na nembo lakini pia leseni daraja A
lililokuwa linasajiliwa Wizara limerudishwa kwetu na hivyo pia
wanasajili iwapo walengwa watakidhi vigezo vilivyowekwa “Alisema

Hata
hivyo alitoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye kusajili ili
kuweza kusajili kampuni lakini lazima vigezo na masharti husika
vinavyohitajika kwenye upatikanaji wa leseni hiyo lazima uzingatiwe.