Home Mchanganyiko WAZIRI MKUU AWAONYA WAMILIKI WA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA

WAZIRI MKUU AWAONYA WAMILIKI WA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA

0

Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi, wakati wa futari ya pamoja na watoto yatima kutoka kwenye vituo sita vya kulea watoto yatima vya jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Mei 26.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watoto yatima, kwenye futari ya pamoja na watoto yatima kutoka kwenye vituo sita vya kulea watoto yatima vya jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Mei 26.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa Chocolate Princess na mwandaaji wa kipindi cha televisheni maarufu cha The Mboni Talk Show, Bi. Mboni Masimba, wakati wa futari ya pamoja na watoto yatima kutoka kwenye vituo sita vya kulea watoto yatima vya jijini Dar es Salaam, iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Mei 26.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).