Home Mchanganyiko WAZIRI MKUU NA MATUKIO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA LEO

WAZIRI MKUU NA MATUKIO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA LEO

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Geita Gold Mine kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanakwaya hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Mwita Waitara ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanakwaya hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Mwita Waitara (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 24, 2019. Kulia kwake ni Mbunge wa Ukonga na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanachuo hao walikwenda Bungeni kujifunza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanachuo hao walikwenda Bungeni kujifunza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)