Kampuni ya
mbolea ya OCP yaendelea kutoa mafuzo ya kilimo bora katika mikoa ya Songwe na Njombe.
mafuzo hayo yanatolwa bure sambamba na upimaji wa afya ya udongo yana tarajiwa kuwafikia wakulima zaidi ya 20,000 katika awamu yake ya
kwanza.
Mmoja wa wakulia akitoa shukrani kwa niaba ya wakulia wa mikoa ya Songwe na Njombe mara baada ya mafuzo ya kilimo bora yaliyo tolewa jana na Kampuni ya mbolea ya OCP.
Wakulima wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mafunzo hayo jana.
Serikali wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, imemuokoa mtoto mwenye umri wa miaka 10, jina limehifadhiwa, aliyekuwa ameachishwa shule na familia yake na kupelekwa kwa mwanaume…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Waandishi wa Habari Agosti 13, 2026 jijini Dodoma kuhusu ufadhili wa masomo…