Home Michezo HAPATOSHI, NI ASTON VILLA VS DERBY COUNTRY

HAPATOSHI, NI ASTON VILLA VS DERBY COUNTRY

0

Hawa ndio miamba watakao cheza fainali ya Play-off itakayo amua nani atajiunga na kina Norwich kuja EPL.

Villa amemtoa West Bromwich Albion kwa mikwaju penat huku naye Derby akimtoa Leeds kwa uwiano wa magoli 4-3.

Achilia mbali bingwa wa mtange huu ataondoka na taji, lakini Kinacho inogesha fainali hii itakayopigwa tarehe 27 ya mwezi huu ni kuwakutanisha maswaiba wawili, magwiji wa pale darajani wakiwa katika ukurasa mwingine wa soka baada ya kutundindika daluga na kuhamia kwenye ukufunzi.

Kushoto unamkuta Terry akiwa kama kocha msaidizi wa Villa huku kulia unamkuta Lampard akiwa kama kocha wa Derby patamu hapo