Home Uncategorized DC MURO APAMBANA NA WAKWEPA KODA ARUMERU

DC MURO APAMBANA NA WAKWEPA KODA ARUMERU

0

NA EMMANUEL MBATILO

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mheshimiwa Jerry  Muro ametoa wito kwa wafanyabiashara wa Halmashauri ya Meru kulipa ada ya ushuru wa hudumu (service levy  ili kuleta maendeleo katika Halmashauri hii.

akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara Dc Muro Ameleza kuwa Serikali ya Awamu ya Tano inakusanya kodi ili kuzirejesha kwa wananchi kupitia mikopo ya Asilimia kumi sambamba na kuwaletea wananchi miradi ya maendeleo.

Pia Mh. Muro amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru Ndg. Emmanuel Mkongo kuhakikisha kila mfanyabiashara wa huduma analipa ushuru wa huduma ( Service Levy).