Uncategorized
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
KIBAHA MJI,MKURANGA NA CHALINZE ZAONGOZA MAAMBUKIZI MAPYA PWANI-NDIKILO
…………………………………………………………………………… NA MWAMVUA MWINYI,PWANI MKUU wa Mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo ametaja Halmashauri ya Kibaha Mji, Mkuranga na Chalinze kuwa na maambukizi mengi ukilinganisha…
DODOMA YAJIPANGA NA UKIMWI
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Dodoma Kessy Maduka,akikagua banda ya wanawake wajasiriamali kabla ya kuwahutubia wananchi waliofika katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani…
MWENYEKITI BODI YA NISHATI VIJIJINI AWASHA UMEME KITUO CHA AFYA KWAMTORO DODOMA ‘WANANCHI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI’
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kwamtoro kabla ya kuwasha umeme katika kituo cha Afya…
HALMASHAURI 45 ZAPEWA SIKU 5 KUTOA MAELEZO YA KUTOANZISHA KAMATI ZA WATU WENYE ULEMAVU
………………………………………………….. Na Angela Msimbira OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Dkt. Dorothy Gwajima amezitaka…
MFUMO WA MAISHA NA TAMADUNI ZA JAMII NCHINI HUCHANGIA KWA KIASI KIKUBWA KWA VITENDO VYA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Prudence Costantine (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu…
HATIMAYE WABUNGE 19 VITI MAALUM CHADEMA WASALIMU AMRI
Wabunge Wateule wa Viti Maalum kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo – wakisubiri kula kiapo kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo. SPIKA wa…