ABDALLAH MAHMOUD MWENYEKITI MPYA WA CCM WILAYA YA PANGANI
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani Abdallah Mahmoud akizungumza mara baada ya kuchaguliwa katika uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa YMC wilayani Pangani kushoto ni…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani Abdallah Mahmoud akizungumza mara baada ya kuchaguliwa katika uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa YMC wilayani Pangani kushoto ni…
***************** NA BALTAZAR MASHAKA,NYAMAGANA MKUTANO Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyamagana,umehitimisha mnyukano wa wagombea watatu wa nafasi ya mwenyekiti…
Rais wa Taasisi ya AL-WADOOD CHARITABLY SHEIKH ALLY BIN MASOUD AL-MUKHERY akizindua visima vya maji Katika Shina namba moja Madale Kwa Kawawa jijini Dar…
Badhi ya wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wakiwa tayari kwenye uchaguzi wa CCM Wilaya hiyo unaotarajiwa kufanyika kesho…
Picha mbalimbali ndani ya uchaguzi wa Jumuiya ya wazazi CCM Kibaha Mjini ……………………………. Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha MWENYEKITI mpya wa Jumuiya ya wazazi CCM…
************************* Na Mwandishi wetu, Simanjiro MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Haiyo Yamati Mamasita amesema endapo atachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa…
Na Mwandishi wetu, Simanjiro MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Manyara Kiria Laizer ambaye amepitishwa na Halmashauri kuu ya CCM Taifa, kugombea…
Mgombea wa nafasi ya mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha mji Maryam Sheiban (Twiga) ………………………….. Na mwandishi wetu,Kibaha…
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri…
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu…