MAFANIKIO YAMBEBA MNDOLWA, ATAJWA KUTETEA KITI CHAKE.
******** Hivi karibuni Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangaza majina nane (8) ya makada wake walioteuliwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
******** Hivi karibuni Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangaza majina nane (8) ya makada wake walioteuliwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania…
SAMUEL Malecela ameshinda kwa kishindo nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Dodoma. Malecela ameibuka Mshindi baada ya kupata kura 480…
Leodger Leonard Kachebonaho ameshinda kwa kishindo kwa Jumlaya kura 508 kati ya wajumbe 582 walioshiriki uchaguzi huo wa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM…
Na Alex Sonna-DODOMA KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi(CCM), Gilbert Kalima,amewataka wajumbe kuchagua viongozi watakaotengeneza timu itakayoleta maendeleo na kukifanya…
********************* HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi imeliengua jina la Mbunge wa Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina…
Na Mwandishi wetu, Babati UVCCM Mkoa wa Manyara, imepata Mwenyekiti mpya ambaye ni Inyas Stanslaus Amsi aliyerithi mikoba ya Mosses Komba. Amsi ameshinda nafasi…
Na Mwandishi wetu, Babati KATIBU mstaafu wa UWT wa Wilaya za Babati, Kondoa na Arusha mjini na Mikoa ya Arusha na Rukwa Fatuma Tsea…
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Tanzania Bara, Christine Mndeme,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT),Mkoa wa Dodoma…
KATIBU wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Bw.Kenani Kihongosi,akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa viongozi wa UVCCM Mkoa wa…
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa…