Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
CHADEMA WILAYA YA SERENGETI WAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAO
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara, leo Februari 5,2024 kinaendesha uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho. Nafasi…
KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA KUSINI, ANGOLA NA MSUMBIJI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, pamoja na baadhi ya Mabalozi wa Nchi Sita Marafiki za Kusini mwa…
USHAWISHI WA TANZANIA DUNIANI UNATEGEMEANA NA SERA YA MAMBO YA NJE INAYOREKEBISHWA
Imeelezwa kuwa ili Tanzania iweze kufikia malengo ya Maendeleo iliyojiwekea, lazima iwe na Sera Bora ya Mambo ya Nje inayozingatia maoni na matakwa ya…
DK.MWINYI AKUTANA NA SEKRETARIETI ZA CCM MIKOA NA WILAYA ZANZIBAR
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na sekretarieti ya kamati maalum, sekretarieti…
CCM MBEYA YAMALIZA MGOGORO WA SOKO KYELA, WAFANYABIASHARA KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
Na. Mwandishi Wetu. Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa Mbeya Mbeya kikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu Patrick Mwalunenge, kimeamua kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu…
KINANA ACHAMBUA UBORA WA SHERIA MPYA YA UCHAGUZI
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Makamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhman Kinana, ameshauri vyama vya siasa vya upinzani hususan CHADEMA kuacha kufanya…
PICHA: MAKAMU M/KITI CCM AZUNGUMZA WANACHAMA WA CCM MKOA WA DSMĀ
Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndg Kinana akizungumza na Viongozi na wanachama wa CCM Mkoa Wa Dar Es Salaam Leo (Picha na Fahadi Siraji)
BALOZI BWANA: TANZANIA INA MENGI YA KUJIFUNZA AFRIKA KUSINI
CapeTown Balozi wa Tanzania Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. James Bwana amesema Tanzania inayo mengi ya kujifunza kwenye Mkutano wa Uwekezaji wa Madini Barani…
MISUNGWI WAJIVUNIA MAENDELEO YALIYOPATIKANA MIAKA 47 YA CCM
Leokadia Sanyenge, akipokea kadi ya kielekteroniki ya uanachama wa CCM kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Michael Masanja ‘Smart’ wakati wa maadhimisho…