Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MWENGE WA UHURU KUPITIA MIRADI 28 YENYE THAMANI YA TRILIONI 8.5 WILAYANI KIBAHA
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Mei 1 MWENGE wa Uhuru utapitia miradi 28 yenye thamani ya trilioni 8.5 wilayani Kibaha, mkoani Pwani, ambapo umekagua mradi mkubwa…
MASAUNI,IGP WAMBURA WAAHIDI UCHAGUZI HURU NA HAKI.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(katikati) akiimba wimbo wa mshikamano pamoja na viongozi, watumishi wa wizara (hawapo pichani) wakati wa…
BALOZI PINDI CHANA: UHUSIANO, USHIRIKIANO WA TANZANIA NA URUSI ULIAMZA TANGU ENZI
Na Mwandishi Wetu, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amesema Uhusiano na Ushirikiano baina ya nchi ya Tanzania na Urusi…
SERIKALI YATENGA BILIONI 100 UJENZI WA VYUO VYA VETA
Na Sophia Kingimali. SERIKALI imetenga shilingi bilioni 100 kwa ajili ya kujenga vyuo vya VETA katika Halmashauri 63 kwenye mikoa isiyokuwa na vyuo hivyo…
RAIS SAMIA AWASILI NAIROBI KENYA KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA IDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa…
KATIBU MKUU UVCCM NDUGU JOKATE APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI MTWARA
Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa Mkoani Mtwara na kuvishwa skafu…
MNEC DKT MABULA AKABIDHI KADI ZA CCM KWA BODA BODA.
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula amekabidhi kadi za CCM kwa…
RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS DKT. HASSAN MOHAMUD WA SOMALIA IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt.…
RAIS SAMIA AWATAKA WATANZANIA KUENDELEZA MUUNGANO KWA FALSAFA YA KUSTAHIMILIANA NA MARIDHIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa kilele…