Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WATUMISHI CCM WANOLEWA KUHUSU FURSA ZA MASOMO NJE YA NCHI
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), kimefanya mafunzo kwa watumishi wa chama na jumuiya zake…
TANZANIA NA INDIA ZAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA ZA KIMKAKATI
Serikali za Tanzania na India zimekubaliana kukuza ushirikiano katika sekta za kimkakati ambazo nchi hizo mbili zimeingia makubaliano rasmi ya ushirikiano kupitia uhusiano wa…
DKT. TULIA ATAKA USHIRIKIANO NA MAWAZO BUNIFU KULIENDELEZA BARA LA AFRIKA NA WATU WAKE
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano…
BALOZI YAKUB AKJTANA NA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA UAGIZAJI WA MCHELE COMORO (ONICOR)
Moroni, Comoro Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uagizaji Mchele nchini Comoro (ONICOR), Moussa Hamada,…
RAIS SAMIA AWKABIDHI KITABU CHA SOKOINE KWA VIONGOZI MBALIMBALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Makamu wa Rais. Mhe. Philip Isdor Mpango Kitabu pamoja na Viongozi…
RAIS SAMIA AZINDUA KITABU CHA MAISHA YA HAYATI EDWARD SOKOINE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtoto wa hayati Edward Moringe Sokoine, Balozi Joseph Edward…
MHESHIMIWA ANNE KILANGO AZINDUA SHINA LA TAWI UVCCM KADANDO MAORE.
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela, amezindua rasmi shina la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika…
WANA CCM WASISITIZWA KUSHIRIKIANA KUJENGA OFISI ZA KATA WILAYANI
Katika jitihada za kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kimezindua rasmi…