KIMATAIFA: SYRIA YAZUIA UONDOSHWAJI WA VIFAA VYA KIJESHI VYA URUSI KUTOKA KITUO CHA MAJINI
Mamlaka mpya za Syria zimekataa kuruhusu meli iliyopaswa kuondoa vifaa vya kijeshi vya Urusi kutoka kituo cha majini cha Tartus nchini Syria, kwa mujibu…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mamlaka mpya za Syria zimekataa kuruhusu meli iliyopaswa kuondoa vifaa vya kijeshi vya Urusi kutoka kituo cha majini cha Tartus nchini Syria, kwa mujibu…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia, Masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis L. Londo (Mb) ameongoza ujumbe wa…
Waziri wa M WAZIRI KOMBO ambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Balozi wa Algeria nchini Mhe.…
Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM)Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mmoja wa Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za…
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amewaelekeza wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho kushiriki kikamilifu katika mchakato…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika zilizofanyika Uwanja wa Independence Square Jijini Accra nchini Ghana…
Na Mwandishi Wetu, Kakonko Katika hatua ya kuthibitisha dhamira yake ya kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Buyungu, Mbunge wa jimbo hilo, Mhe. Aloyce Kamamba,…
Mkutano wa Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umefanyika Zanzibar tarehe 04 Januari, 2025…
Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amelihutubia taifa na kutoa muhtasari wa mafanikio na mikakati ya serikali kwa mwaka 2024. Akianza…