BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 950 MILIONI KWA MATIBABU YA WAGONJWA WA MGUU KIFUNDO
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto…
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola kuwasilisha Ujumbe maalum…
Mkutano wa Mawaziri wa Majadiliano ya Ushirikiano kati ya Jumuiya ya Maendekeo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Ulaya (EU) umefanyika Machi, 15,…
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akilipa fedha taslim kwa Muuzaji wa Vifaa vya Chama mara baada ya kununu kofia (aliyoivaa kichwani)…
Mkutano wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umemalizika Machi 14, 2025 jijini Harare, Zimbabwe huku viongozi…
Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi…
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 14…
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuanza ziara ya siku…
Mkoa wa Mjini Magharibi. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Mhe. Tabia Maulid Mwita amewataka Watendaji wa (UWT) kushirikiana…
Harare, Zimbabwe – 13 Machi 2025 Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana katika Mkutano Maalum kujadili…