WAZIRI KOMBO AWASILI ANGOLA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Luanda, Angola ikiwa ni sehemu ya…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Luanda, Angola ikiwa ni sehemu ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza Ziara ya Kiserikali ya siku 3 katika Jamhuri ya Angola…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa,…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho, Halmashauri ya Songea Vijijini,…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na umati mkubwa wa wananchi Namtumbo, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea Tunduru,…
. Reubeni Lumbagala Katika haya maisha, binafsi yangu nimeamua kujifunza kwa yeyote bila kujali dini, itikadi ya kisiasa, kabila, umri, jinsi ili mradi analo…
MoonAliyekuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, ameonesha kutoridhishwa na namna chama hicho kilivyoshughulikia taarifa za shambulio dhidi…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa, kimechangia jumla ya Sh 1,553,500 kwa ajili ya matibabu ya Katibu Mwenezi wa Baraza la…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Canada hapa nchini…