Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DKT. MWIGULU ASHIRIKI MKUTANO WA NGAZI YA WAKUU WA NCHI JIJINI BRAZZAVILLE
*Rais wa Congo aufungua, ataka Afrika iwanufaishe wananchi wake WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameshiriki Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana…
WAZIRI KOMBO: TANZANIA INAENDELEZA MSINGI WA KUTOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE
Na. Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa Tanzania inaendelea kushikilia…
BALOZI MNDEME AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME CARL XVI GUSTAF WA SWEDEN
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mheshimiwa Swahiba H. Mndeme, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden katika hafla…
DKT. MWIGULU AWASILI NCHINI JAMHURI YA KONGO
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya jijini Brazzaville, nchini Jamhuri ya Kongo kwa ajili ya…
DKT. MWIGULU KUMWAKILISHA RAIS SAMIA CONGO BRAZAVILLE
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameondoka nchini leo (Jumatatu, Mei 25, 2026) kwenda Brazzaville, Jamhuri ya Kongo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye…
RAIS WA SENEGAL AMFUTA KAZI WAZIRI MKUU NA KUVUNJA SERIKALI
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye amemfuta kazi Waziri Mkuu Ousmane Sonko na kuvunja rasmi serikali yote kufuatia mvutano wa muda mrefu uliokuwa ukiendelea…
TANZANIA NA BRAZIL ZAAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO ZAIDI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Brazil zimeahidi kuendeleza na kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya mataifa hayo…
WAZIRI NDEJEMBI AKUTANA NA BALOZI WÀ NORWAY NCHINI TANZANIA
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tone Tinnes yaliyolenga kuimarisha na kuendeleza ushirikiano…
WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA KONSELI MKUU WA KENYA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Konseli Mkuu wa…