WAZIRI BASHE AZINDUA TOVUTI YA USAJILI WASHIRIKI WA MAONESHO YA NANE NANE 2025
WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Juni 13,2025 jijini Dodoma wakati akizindua tovuti ya usajili wa washiriki wa…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Juni 13,2025 jijini Dodoma wakati akizindua tovuti ya usajili wa washiriki wa…
Na Ferdinand Shayo ,Manyara Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited yenye makao Makuu mjini Babati mkoani Manyara imetoa zawadi…
*Kamishna Luoga asisitiza matumizi ya umeme katika Nishati Safi ya Kupikia Kamishina wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga amezindua kampeni ya kitaifa…
Geita Wananchi wilayani Bukombe mkoani Geita wameeleza kunufaika na mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika mji wa Ushirombo mradi unaotekelezwa…
Mtuhumiwa James Mbapila, anayedaiwa kuchakachua mitungi ya gesi, akiwa chini ya ulinzi ofisini kwake, baada ya Askari wa Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na…
Mkurugenzi wa Tafiti, Miungano ya Makampuni na Uraghibishi Tume ya Ushindani (FCC) B. Zaytun Kikula akizungumza na Wanawawake Wajasiriamali Mkoa wa Dar es Salaam…
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda, amewataka wakandarasi wanaotekeleza mradi wa usambazaji wa mifumo midogo ya umeme jua katika maeneo ya visiwani…
Wadau wa Mtandao wa Bajeti yenye Mrengo wa Kijinsia (Gender Responsive Budgeting Alliance – GRBA) unaoratibiwa na Mtandao wa Kijinsia TGNP, wamekutana…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kutowa mkono wa pole kwa Katibu Mtendaji Ofisi ya…
Waziri Mkuu, Kassim Majakimsikiliza Mweka Hazina wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania, Abdilah Omar (wa tatu kushoto) alipotembelea mabanda ya maonesho akimwakiliasha Rais Dkt.…