RAIS SAMIA NA RAIS WA BENKI YA AFRIKA AfDB WAKAGUA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE MSALATO
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wakagua maendeleo ya ujenzi wa…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wakagua maendeleo ya ujenzi wa…
Na WMJJWM- Shinyanga Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda amesema takwimu ni muhimu katika uratibu na utoajia…
Farida Mangue, Morogoro Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka watoa huduma wa tiketi mtandao kuunganisha mifumo yao na mfumo wa serikali inayosimamiwa…
* Azindua maduka ya kisasa 31 Ushirombo Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Naibu Waziri…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na viongozi wa Chama na Serikali, wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete maraa…
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa wadau katika sekta ya utalii kuongeza uwekezaji…
Na. Stanley Brayton, WMUV PWANI Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amewataka wafugaji kuachana na Ufugaji wa kizamani na kufuga kisasa…
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es salaam Albert Msando akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya mazingira kimkoa ambayo yamefanyika katika viwanja vya…
Na Prisca Libaga Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, amesema kuwa ndoto ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…