MNYETI AIPONGEZA NMB KUUNGA MKONO WAFUGAJI NCHINI.
SERIKALI imesisitiza kuwa imejipanga kuhakikisha kuwa wafugaji nchini wanakuwa na uwezo wa kufanya ufugaji wa kisasa wenye tija zaidi na kuachana na mbinu duni…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
SERIKALI imesisitiza kuwa imejipanga kuhakikisha kuwa wafugaji nchini wanakuwa na uwezo wa kufanya ufugaji wa kisasa wenye tija zaidi na kuachana na mbinu duni…
Baadhi ya wananchi katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakijitokeza kwa hiari kutoa damu katika wiki ya uchangiaji damu Mstahiki Meya wa Manispaa…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Watanzania waishio nchini China (Dispora) kuchangamkia fursa…
Na WAF – Bariadi, Simiyu Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote nchini kuwa na utamaduni wa kusimamia na kulinda miundombinu iliyopo…
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Wilayani Busega Mkoani Simiyu…
Serikali imetumia zaidi ya bil 75 kutekeleza miradi ya maendeleo katika kata ya Mji Mwema na kisha kufanikiwa kupunguza changamoto zilizokuwa zinawatesa wananchi katika…
NA DENIS MLOWE, IRINGA MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Ritha Kabati ametoa msaada wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu kituo cha Huruma…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa elimu katika harambee ya kuchangia ujenzi wa uzio wa shule ya sekondari ya Wasichana ya Ruvu…
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Akinwumi Adesina amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 4 aliyoifanya nchini…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa,akizungumza na Waandishi wa habari leo Juni…