Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
NATAKA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MAFENE UKAMILIKE KABLA YA MACHI MWAKA HUU-MWENYEKITI CCM DODOMA GODWIN MKANWA
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa,akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari Mafene Wilayani Mpwapwa mara ya kuitembelea ikiwa ni…
Dkt. Gwajima awataka maafisa jamii kusimama imara kupinga vitendo vya ukatili
*********************************************** Na. Majid Abdulkarim, Dodoma Serikali imewataka maafisa jamii katika halmashauri zote nchini kusimamia utekelezaji wa wizara ya afya katika kupinga vitendo vya kikatili…
BITEKO AWATAKA BUKREEF KUKAMILISHA MASHARTI YA SERIKALI ILI WAPEWE LESENI YA UCHIMBAJI
Waziri wa Madini, Doto Biteko (katika), kulia ni Naibu Waziri wa Madini, Prof. Shukrani Manya na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Madini Prof.…
TUPUUZE UZUSHI WA MITANDAONI, TANZANIA HATUNA CORONA – PROF. MCHEMBE
******************************************** Na WAMJW- DSM KATIBU MKUU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Mabula Mchembe amewataka Wananchi kupuuza taarifa zinazozagaa…
WANAUME WATAKIWA KUVUNJA UKIMYA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Ddodoma kuhusu hali…
SERIKALI ITAKAMILISHA UTEKELEZAJI WA VIPAUMBELE VYOTE-MAJALIWA
************************************* SERIKALI imejipanga vizuri katika kuhakikisha inakamilisha utekelezaji wa vipaumbele vyote ambavyo havikukamilika katika kipindi kilichopita sambamba na kusimamia ipasavyo maeneo mapya yaliyoibuliwa kwenye…
KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI YAKUTANA DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Bunge Masuala ya Ukimwi wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Katika kikao hicho Mkurugenzi wa Idara…
ARUSHA DC YAJA NA MKAKATI KUWABAINI WAFANYABIASHARA WAKUBWA WANAOCHUKUA VITAMBULISHO VYA MACHINGA
Ni Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha DC Ojung’u Salekwa ************************************* NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA Halmashauri ya Arusha DC imejipanga kuhakikisha kuwa wafanyabiamshara wakubwa…
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA SIASA MKOA WA DAR ES SALAAM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Makamu wa…