Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RC MTAKA AWATAKA WATUMISHI WAKE KUTIMIZA MAJUKUMU YAO ,AKABIDHIWA OFISI RASMI
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka akikabidhi Ofisi rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo, Dk Binilith Mahenge (kulia) ambaye amehamishia Singida…
WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUPIMIA CORONA KUTOKA SD BIOSENSOR YA KOREA KUPITIA KAMPUNI YA VITAL SUPPLIES LIMITED
Mkurugenzi Mkuu wa Vital Supplies Limited Jimmy C. Apson akimkabidhi msaada wa vifaa vya kupimia Corona Makamu wa Kwanza wa Rais Othman Masoud Othman…
MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU KAMISHNA WA POLISI SALUM RASHID HAMDUNI AKABIDHIWA OFISI RASMI
******************************* Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Meja Jenerali John Julius Mbungo, leo Ijumaa Mei 21, 2021…
SERIKALI : MAONI YA WADAU SEKTA NDOGO ZA UTANGAZAJI YANAFANYIWA KAZI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jimmy Yonazi akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa kufungua kikao cha Majadiriano…
WALIMU WASIOTUMIA ZANA ZA KUFUNDISHIA WAONYWA
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Paulina Nkwama akiongea katika mkutano wake uliowahusisha wadau wa elimu (Walimu, Walimu Wakuu, Waratibu Elimu Kata,…
DIWANI WA KATA YA MSASANI APOKEA MSAADA WA MABATI 300 KUTOKA TAASISI YA KARIMJEE
Diwani wa Kata ya Msasani, Luca Neghesti, kulia leo hii amepokea mchango wa mabati 300 kutoka taasisi ya Karimjee-Jivanjee Foundation. Mabati hayo yatatumika kuezeka…
WAZIRI MKUU AKABIDHI MAGARI 184 KWA HALMASHAURI NCHINI
………………………………………………………………… Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekabidhi jumla ya magari 184 kwa maafisa elimu wa Halmashauri ikiwa ni mkakati wa Serikali ya awamu ya sita…
WAZIRI KALEMANI NA WADAU WA MAFUTA WAJADILI BIASHARA YA MAFUTA
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani(katikati), akizungumza na wadau wa mafuta nchini, wakati wa mkutano wa kujadili mambo mbalimbali yanayohusu biashara ya mafuta nchini,…
RC MAKALLA AMALIZA MGOGORO WA MEYA NA MKURUGENZI KINONDONI
MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amemaliza sitofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya Meya manispaa…