Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
KAMPUNI YA GREEN MILE SAFARI YAREJESHEWA KITALU CHA LAKE NATRON EAST.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akitoa hukumu ya Kitalu cha uwindaji cha cha Lake Natron East kilichoko wilayani Longido mkoani Arusha…
MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MEI MOSI 2021 YAKAMILIKA.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza kuhusu masuala ya wafanyakazi…
MAJALIWA AAHIDI KUWA SERIKALI ITAYAFANYIA KAZI MALALAMIKO JUU YA UKAGUZI KATIKA MGODI WA MERERANI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa maelezo kuwa serikali imepokea na itayafanyia kazi malalamiko ya wabunge juu ya utaratibu wa ukaguzi kwenye mgodi wa Mererani,…
Serikali na Wadau wajadili uboreshaji wa Michezo kwa Wanawake nchini
************************* Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amekutana na Vyama vya Michezo…
WAZIRI JAFO AIPA WIKI MOJA DUWASA KUOMBA CHETI CHA TATHIMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA (TAM)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akikagua mwabwawa ya majitaka katika maeneo ya Hospitali ya Benjamin…
WAZIRI AWESO AWATAKA WATAALAMU WOTE NCHINI KUTUMIA TAALUMA ZAO KWA WELEDI
WAZIRI wa Maji, Mhe.Jumaa Aweso,akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha siku mbili cha Majadiliano ya Wataalamu wa Sekta ya Maji kati ya Tanzania bara…
KATAMBI AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WANAOTEKELEZA AFUA ZA VVU NA UKIMWI ZINAZOWALENGA WASICHANA BALEHE NA WANAWAKE VIJANA
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobas Katambi,akikagua Mabanda hayo wakati wakati wa Mkutano wa Mwaka…
DKT. GWAJIMA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA MHE. WANG KE
*********************** Na.WAMJW-Dodoma Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima leo tarehe 29 Aprili 2021 amekutana na kufanya mazungumzo…
MAJALIWA AWAFUTURISHA WABUNGE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kushoto), Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid (kulia) na…