Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
NDEJEMBI AAHIDI MAFUNZO YA TEHAMA KUPEWA KIPAUMBELE KWA WANAFUNZI WILAYANI CHAMWINO ILI KUWAANDAA WATUMISHI BORA WATAKAOLITUMIKIA TAIFA
…………………………………………………. Na. Mwandishi wetu-Chamwino Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema atahakikisha mafunzo ya…
DKT. ZAINAB CHAULA AWAFUNDA WAKAGUZI WA NDANI NA WIZARA NA TAASISI ZAKE
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akizungumza na Wakuu wa Ukaguzi wa Ndani na Wahasibu Wakuu wa…
MENEJA TARURA ATOA UFAFANUZI GHARAMA YA MILIONI 30 UJENZI WA DARAJA LA MTO MNGETA
Mbunge wa Jimbo la Mlimba Morogoro, Godwin Kunambi (wa pili kutoka kushoto) akiwa kwenye Mtumbwi akivuka Mto Mngeta Februari mwaka huu ambapo aliitembelea Mto…
RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS TSHISEKEDI WA CONGO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe.…
WAZIRI KALEMANI AAGIZA WAKANDARASI KUPELEKA UMEME KATIKA MAENEO YA VIWANDA VIJIJINI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani(Kulia) akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango(kushoto) wakati wa uzinduzi wa Mradi wa umeme wa Ujazilizi Fungu…
RC DKT SENGATI AITAKA HALMASHAURI KUKAMILISHA UJENZI KUPUNGUZA MSONGAMANO MADARASANI
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati akikologa udongo kwa ajili ya kukamilisha darasa linalojengwa kwa fedha za mradi wa EP4R katika Shule…
KERO YA UKOSEFU WA MAJI KIJIJI CHA MAHEGE NA RUARUKE KUBAKI HISTORIA-MAHUNDI (NW)
…………………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi,Kibiti …
SOKO LA PAMBA MASWA LAVUKA LENGO BEI ELEKEZI YA SERIKALI,WAKULIMA WACHEKELEA.
………………………………………………………… Na.Faustine Gimu Galafoni,Maswa Simiyu. Baadhi ya Wakulima wa zao la Pamba Wilayani Maswa mkoani Simiyu wakizungumza kwa nyakati tofauti na Mtandao huu ,akiwemo Diwani…
KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA BUSEGA YAIAGIZA TARURA KUWASIMAMIA VYEMA WAKANDARASI WA BARABARA
Na Mariane Mariane Mgombere, Busega Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Busega ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe. Gabriel Zakaria imeitaka…