Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI GWAJIMA AWAPA JUKUMU ZITO MAAFISA MAENDELEO YA JAMII
Waziri wa Afya, Maendeleo ya.Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akipokea zawadi ya Mchoro wa picha yake wakati alipotembela Chuo cha…
WAZIRI GWAJIMA ATOA UFAFANUZI KUHUSU MATUMIZI YA DAWA ASILIA NA UMUHIMU WA CHANJO
********************************** Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dorothy Gwajima ametoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya dawa asilia na umuhimu wa…
MIRADI SABA YA MAENDELEO BUSEGA YAKAGULIWA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU; KWA KIASI KIKUBWA YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WAKE
*********************************** Na Mariane Mariane Mgombere, Busega-Simiyu Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo Wilayani Busega katika kipindi cha…
SERIKALI KUANZISHA MALIPO YA LESENI KWA MTANDAO
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Godfrey Nyaisa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya maafisa…
KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WILAYA YA NZEGA IMEMPONGEZA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA MAJI NZEGA KWA KUTATUA KERO YA MAJI KWA MUDA MFUPI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MWANZOLI
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Nzega Amosi Kanuda akimtwisha mwanafunzi ndoo ya maji alipotembelea katika shule ya Sekondari Mwanzoli kwa ajili…
TANESCO MKOA WA ILALA YATOA ELIMU KABLA YA UTEKELEZAJI MRADI WA KUSAMBAZA UMEME MVULENI CHANIKA
Injinia Yusuf Ismail Meneja wa TANESCO Mkoa wa Ilala akizungumza na wananchi wa mtaa wa Vuleni Chanika Kata ya Msongola wilayani Ilala wakati Maofisa…
WAZIRI LUKUVI AAGIZA UPIMAJI ENEO LA MGOGORO NA KUTOA ONYO KWA WAVAMIZI WA ARDHI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimpa maelekezo Mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka alipokwenda kuatatua mgogoro katika Mtaa…
WAZIRI NDUMBARO AZINDUA ZOEZI LA UWEKAJI ALAMA KWA FARU ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro (wa sita kutoka kushoto) akishuhudia uzinduzi wa zoezi la uwekaji wa alama za utambuzi wa faru…
TUTASIMAMIA SHERIA, HAKUNA MFANYABIASHARA ATAPEWA KIBALI KUAGIZA SUKARI KAMA SIO MZALISHAJI-WAZIRI MKENDA
Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Katikati) akisisitiza jambo wakati wa mkutano na wazalishaji wakubwa wa sukari nchini uliofanyika katika ukumbi wa Wizara…