IGP SIRRO AWATAKA ASKARI KUONYESHA UWEZO WAO
*********************************** Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka askari wa Jeshi la Polisi nchini kuonyesha uwezo walioupata kutokana na mafunzo waliyoyapata…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
*********************************** Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka askari wa Jeshi la Polisi nchini kuonyesha uwezo walioupata kutokana na mafunzo waliyoyapata…
Makamu Mkuu wa Chuo Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Profesa Appolinaty Kamuhabwa akizunguza katika mkutano wa wafanyakazi wa Muhimbili uliofanyika leo hospitalini…
*********************************** SHIRIKA la kimataifa la Uhifadhi (WWF),limetoa elimu na vifaa katika vijiji vitano vilivyoathirika na tembo waharibifu wa mazao Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,ili…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akisalimiana na Watendaji na Wajumbe wa Kamati…
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Christopher Kadio akifunga mkutano wa siku tatu uliokua ukijadili sera ya kinga ya usafirishaji haramu…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wazalishaji wa bidhaa za viwandani wakati wa hafla ya…
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimuelekeza jambo Bibi Asha Mkaku mkazi wa mtaa wa Mwankoko mkoani Singida wakati wa…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa ameshika ujumbe wenye maua aliopewa katika Mkutano wa Kimataifa…
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba (wa tatu kulia) akiongoza matembezi ya pamoja yaliyoshirikisha wafanyakazi wa Mfuko…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar.Sheikh. Saleh Omar Kabi…