TIMU YA WATAALAMU WA MAE YAKUTANA NA MWAMBATA WA UTAMADUNI WA UBALOZI WA INDIA NCHINI.
Mwambata wa Utamaduni wa Ubalozi wa India nchini Mhe Santhosh G. Raja akiendesha kikao kati kituo cha Utamadini cha nchi hiyo na wajumbe wa…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mwambata wa Utamaduni wa Ubalozi wa India nchini Mhe Santhosh G. Raja akiendesha kikao kati kituo cha Utamadini cha nchi hiyo na wajumbe wa…
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira, Dkt.Thomas Bwana akizungumza katika Warsha ya Kukuza Uelewa kwa Wataalamu wa Mazingira wa Mikoa yote nchini na wataalamu kutoka…
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) nchini Tanzania Dkt. Tigest Ketsela Mengestu akizungumza wakati wa ziara ya usimamizi shirikishi Mkoani Arusha Timu ya usimamizi…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya Wentworth Gas Bw.Robert Mac Bean…
Na Joseph Lyimo MKUU wa Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Janeth Mayanja, amesema wananchi wa eneo hilo wamemaliza dozi 2,050 za dozi za chanjo…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew…
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya OR-TAMISEMI Dkt. Grace Maghembe akiteta jambo na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) nchini Tanzania Dkt. Tigest Ketsela Mengestu…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahkama Kuu…
Mgeni rasmi wa mahafari ya 7 ya Kilimani sekondari mwaka huu, Meneja wa NHIF Kanda ya ZIwa, Jarlath Mushashu,akizungumza na wazazi,walimu, wahitimu watarajiwa na…