Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
VODACOM TANZANIA Plc YAPOKEA TUZO MKUTANO WA TEHAMA ARUSHA
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia (katikati) akipokea tuzo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya…
DC MWAIPAYA AWAASA WANAFUNZI WASIJIINGIZE KWENYE MKUMBO WA MAADILI YASIYOFAA
……………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi, Mwanga MKUU wa wilaya ya Mwanga , Kilimanjaro Abdallah Mwaipaya amesema ni jukumu la wazazi kusimamia muenendo wa watoto wao…
AWESO AAGIZA MIRADI YA MAJI 218 YA FEDHA ZA UVIKO-19 KUMALIZIKA NDANI YA MIEZI 6 NA KWA UBORA
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akizungumza wakati wa Mkutano na watendaji wa Wizara, mabonge, wakurugenzi wa mamlaka za maji mijini na vijijini watakao…
HOSPITALI YA MAGONJWA AMBUKIZI KIBONGÓTO KUWA TAASISI KAMILI
********************* Na WAMJW – Kilimanjaro Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi Mhe. Fatuma Toufiq ameitaka Serikali kuharakisha mchakato wa…
MHE. RAIS SAMIA AKIONDOKA NCHINI KUELEKEA GLASGOW SCOTLAND KUHUDHURIA MKUTANO WA COP 26
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe.…
DC MGANDILWA ATOA AGIZO ZITO KUHUSU MADANGURO JIJINI TANGA
MKUU wa wilaya ya Tanga Hashim Mgandilwa akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani kushoto ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Spora Liana…
MABADILIKO YA TABIA YA NCHI YAELEZWA KULETA ATHARI KATI YA BINADAMU NA WANYAMA.
Mkuu wa wilaya ya Longido Nurdin Babu akizungumza katika mkutano huo uliofanyika jijini Arusha na kuwashirikisha wadau mbalimbali.(Happy Lazaro) Baadhi ya washiriki wa mkutano…
MKE WA MAKAMO WA RAIS ZANZIBAR MAMA ZAINAB AWATAKA WAKINAMAMA KUSHIRIKI KATIKA KAZI ZA MIKONO
Mke wa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo akizungumza katika Ufungaji wa Mafunzo ya Upambaji huko Ukumbi wa Sanaa Rahaleo…
WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA SIKU 30 KWA WATU WOTE WANAOMILIKI SILAHA KINYUME NA SHERIA KUZISAMILISHA, ATOA MSAMAHA KWA WATAKAO ZISAMILISHA SILAHA HIZO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na waandishi jijini Dodoma, leo Oktoba 30, 2021, kuhusu msamaha na usalimishaji wa silaha…