Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS SAMIA AWEKA ALAMA IKUNGI
….……… ………………………. MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu November 20,2021 amefanya ziara kwa vijiji na Vitongoji vya kata ya Ikungi kwa lengo la kuwahimiza…
CHUO KIKUU CHA POSTDAM KUTOKA UJERUMA KUFANYA ZIARA MANISPAA MJINI
Katibu Jumuiya ya Uhifadhi wa Mazingira Mnara Mbao Kombo Juma Maalim akisoma risala wakati walipotembelewa na Rais wa chuo kikuu cha Postdam na ujio…
WAZIRI LUKUVI AWEKA WAZI MAFANIKIO YA WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI TANGU UHURU
WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi,William Lukuvi, akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo November 21,2021 jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya…
OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA ZAONGEZA BAJETI YA WIZARA ASILIMIA 44
Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Walter Lungu akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha Wahasibu wa Wizara ya…
ZAIDI YA WATANZANIA 300 WATARAJIWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.
Waziri wa maliasili na utalii ,Damas Ndumbaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo. Baadhi ya waandishi wa habari jijini Arusha wakimsikiliza Waziri…
SHUGHULI ZA KIBINADAMU KWENYE MAENEO YA VYANZO VYA MAJI YACHANGIA UKOSEFU WA MAJI KATIKA MAENEO MENGI YA NCHI
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC Mhandisi Dkt. Samuel Gwamaka akisisitiza jambo mbele waandishi wa habari leo…
MBUNGE SALIM ALMAS ASHUSHA TREKTA 3 ZENYE THAMANI YA MIL 150 KWA AJILI YA KILIMO,WANANCHI KICHEKO
MBUNGE wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham akizungumza na wananchi mara baada ya kukabidhi matrekta matatu yenye thamani ya milioni 150
UJENZI WA MADARASA RC AKIHIMIZA USIMAMIZI WA FEDHA
Mkuu wa Shule ya Sekondari Buswelu, Arsen Peter (kulia),akimwongoza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi.Robert Gabriel, ukagua mradi wa vyumba vitano vya madarasa ya…