TANZANIA NA JAPAN ZAISAINI MKATABA WA MSAADA WA BILIONI 27.3 KUSAIDIA SEKTA YA AFYA
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kulia), na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yoichi Mikami, wakisaini Hati za Mkataba (Exhange Note)…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (Kulia), na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yoichi Mikami, wakisaini Hati za Mkataba (Exhange Note)…
Longido, Arusha Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kufungua fursa za kiuchumi kwa kuboresha miundombinu na kuondoa vikwazo kupitia mradi wa…
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na kampuni ya Oryx Gas Tanzania Ltd, tarehe 14 Machi, 2025 imezindua zoezi la kusambaza mitungi ya…
*Mikoa 16 kunufaika na Nishati ya Jotoardhi *SEforALL yatakiwa kuwekeza katika utafiti na ubunifu Tanzania imelenga kuunganisha nishati ya jotoardhi kwenye gridi ya taifa…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara,Kilimo na Mifugo imetoa rai kwa Wananchi kutumia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwa kutunza na kuuza…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma maandishi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari Mbagwa wilayani Nzega, Machi 13, 2025. Kulia ni…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wagonja wa nje katika Kituo cha Afya Itobo kilichopo Jimbo la Bukene wilayani Nzega wakati alipokagua upanuzi wa…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amewataka Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma ili…
MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) Mhandisi Justine Rujomba,akizungumza na waandishi wa habari Leo Machi 14,2025…
Mkemia Mkuu wa Serikali,Dkt. Fedelice Mafumiko, akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 14,2025 jijini Dodoma kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Mamlaka hiyo katika…