MAAMBUKIZI YA KIFUA KIKUU YASHUKA KWA 40%
Na WAF, ARUSHA Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40 hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha lengo…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na WAF, ARUSHA Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40 hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha lengo…
Mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali pamoja na radi imeezua mapaa ya Nyumba pamoja na kuharibu miundombinu ya umeme katika Manispaa ya Musoma…
Meneja wa Tanesco Mkoani Mara Nickson Babu amewatoa hofu wakazi katika Manispaa ya Musoma waliokumbwa na maafaa ya Nyumba kuezuliwa na upepo kuwa shirika…
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe…
NAIBU Waziri wa Afya ,Dokta Godwin Mollel akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho hayo jijini Arusha. Meneja mpango wa Taifa wa kifua kikuu…
Na Mwandishi wetu, Mirerani MAMIA ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wameshiriki Iftari iliyoandaliwa na DC Simanjiro Fakii Raphael Lulandala na kufanyika…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa kusimamia…
Mgeni rasmi, Meya wa Jiji la Mwanza, Sima Costantine (katikati),kulia kwake ni Sheikh Wa Mkoa ,Alhaji Hasani Kabeke, kushoto kwa Meya, ni Meneja wa…
Na Prisca Libaga, Arusha ALIYEKUWA kamanda wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), na kada maarufu wa chama hicho, Justine Nyari amesema Rais Dkt…