WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA WATHIRIKA WA MVUA MUSOMA
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb), ametoa pole kwa kaya takribani 319 ambazo zimeathiriwa na upepo mkali ulioezua paa za nyumba zao…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb), ametoa pole kwa kaya takribani 319 ambazo zimeathiriwa na upepo mkali ulioezua paa za nyumba zao…
*Waziri Mavunde Asema Makusanyo ya Mwaka 2024/25 Yamevunja rekodi *Katibu Mkuu Aeleza Mipango kuihamisha STAMICO kwenye Uwekezaji Mkubwa *Kamati Yapongeza Mwenendo Ukusanyaji Maduhuli, Ushirikishwaji…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akizungumza katika ufunguzi wa semina ya mawakili wa serikali inayofanyika mkoani Arusha. Mwandishi Mkuu wa Sheria…
NJOMBE,Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) nchini imeitaka jamii kuacha tabia ya kuficha ushahidi wa matukio ya ukiukwaji na uvunjifu wa…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe alipozindua Ujenzi wa Lango la Utalii Ndea lililopo kwenye Hifadhi ya Taifa Mkomazi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro…
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wanachama na Viongozi mbalimbali wa CCM wakati akihitimisha ziara yake ya…
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Kurusha Maudhui (ZMUX)waliohudhuria katika hafla ya kumuaga aliekua Mfanyakazi wa Kampuni hio Hawa Ibrahim Saburi alitimiza Miaka yake…
Na Mwandishi wetu, Mirerani WADAU wa maendeleo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wametakiwa kuchangia maendeleo kwa jamii inayowazunguka ili kipato wanachokipata kinufaishe kupitia rasilimali hizo.…
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mkoani Pwani yamefikia asilimia ili kufanikisha kufanya tukio hili kuwa…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene akizungumza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano…