TAASISI ZA FEDHA ZATAKIWA KUTOA ELIMU KWA WAKOPAJI KABLA YA KUWAPA MIKOPO
Afisa Sheria Mwandamizi, Idara ya Ustawi na Huduma Jumuishi za Fedha, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonga, akitoa mafunzo ya elimu ya…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Afisa Sheria Mwandamizi, Idara ya Ustawi na Huduma Jumuishi za Fedha, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonga, akitoa mafunzo ya elimu ya…
Mwandishi wetu, Monduli WANAWAKE wa Jamii ya kifugaji ya kimasai wilayani Monduli mkoani Arusha, wametajwa kuwa waathirika wakubwa wa mabadiliko ya tabia nchi, hali…
Benki Kuu ya Tanzania imeshiriki katika Soko la jumla la Fedha za Kigeni (IFEM) kwa mujibu wa Sera yake ya ushiriki katika soko la…
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira katika Mji wa Mbinga Mkoani Ruvuma(Mbiuwasa)na Mhandisi Yonas Ndomba kushoto na mwakilishi wa kampuni ya Simba Pipe Industries Ltd Elias Nyenzi,wakionyesha mikataba ambapo kampuni ya Simba Pipe Industries Ltd imepata kazi ya kutengeneza na kusambaza mabomba ya maji kwa ajili ya uboreshaji wa huduma ya maji katika mji wa Mbinga. Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma Kisare Makori,akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira katika Mji wa Mbinga(Mbiuwasa) na Wakandarasi waliopata kazi ya kutengeneza mabomba na ujenzi wa mradi wa kuboresha huduma ya maji katika mji huo,kulia Mkurugenzi Mtendaji wa Mbiuwasa Mhandisi Yonas Ndomba na kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Mbiuwasa Mhandisi Patrick Ndunguru. Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbinga mji Mbiuwasa Mhandisi Patrick Ndunguru,akizungumza baada ya Mamlaka hiyo kutiliana saini na wakandarasi watakaotekeleza ujenzi wa mradi wa kuboresha huduma ya maji katika mji wa Mbinga,kulia kwake Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Kisare Makori. Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbinga Mjini(Mbiuwasa) wakiongozwa na…
Na Ashrack Miraji Fullshagwe Media Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amewaonya wananchi wanaojitokeza kudai umiliki wa eneo linalojengwa Kituo cha Afya…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis Londo (Mb) amepokea nakala ya Hati ya…
Kassim Nyaki, NCAA Wajumbe 85 kutoka nchi 15 za Afrika ambao ni Wajumbe Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika waliokuwa jijini…
Jina langu ni Amoni kutokea Dodoma, tangu kitambo nilikuwa namfuatilia Dada fulani karibu na nyumbani kwetu, nilitamani kabisa kuwa mchumba wake wa maisha lakini…
BANJUL, 26 Machi, 2025 – RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, leo amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mhe.…
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka viongozi wa Dini kusaidia Serikali katika mapambano ya dhidi ya Vitendo vya Ukatili na Mmomonyoko…