Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS SAMIA ASISITIZA UMUHIMU WA MAHAKAMA ZA MWANZO KUTOFUNGWA NA MASHARTI YA KIUFUNDI KATIKA UTOAJI HAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa Mahakama, hususan Mahakama za Mwanzo kutokufungwa na masharti ya…
UKUAJI WA TEKNOLOJIA WACHOCHEA UFANISI MATIBABU YA MOYO
Na: Mwandishi Maalumu – Dodoma 05/04/2025 Imeelezwa kuwa ukuaji na maendeleo ya Teknolojia umechochea kwa kiwango kikubwa katika ufanisi wa kutoa huduma za uchunguzi…
SGR JEURI YA TANZANIA, YAPUNGUZA MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI NA KULETA TIJA KWA TAIFA
Moja ya injini za treni za umeme za SGR za Shirika la Reli Tanzania TRC zinazofanya safari kati ya Dar es Salaam- Morogoro na…
WIZARA YA FEDHA IMEFANYA KIKAO KAZI CHA MAPITIO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA NGAZI YA SEKTA
Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda akifuatilia kikao kazi cha mapitio ya Matumizi ya Fedha za…
DKT. NCHEMBA ATETA NA CEO WA BENKI YA ASOCIATE GENERALE JIJINI PARIS
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Kimataifa ya Societe Generale, Bw. Pierre Palmieri, iliyoshiriki…
WAZIRI MREMBO AFANYA ZIARA NA KUOMBA DUA KATIKA KABURI LA HAYATI EDDINGTON KISSASSI
Na Sabiha Khamis Maelezo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Ali Suleiman Ameir amesema hatua iliyochukuliwa na Serikali kuwaombea dua Viongozi…
MAONESHO YA MADINI MKOA WA LINDI KUFANYIKA JULAI 11 HADI 14, 2025.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Zainab Telack ameongoza Kikao cha kwanza cha maandalizi ya Maonesho kilichofanyika Ruangwa huku akitaja Juni 11 hadi 14, 2025 kuwa…
WAZIRI HAMZA ASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA RAIS MSTAAFU AWAMU YA NNE SHEIKH IDRISS ABDULWAKIL MAKUNDUCHI ZANZIBAR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Sera ,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Uamza Hassan Juma akisoma Dua ya kumuombea Rais…
WASIRA APOKEA TAARIFA UTEKELEZAJI ILANI YA CCM JIMBO LA ILALA
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akizungumza na Viongozi na Wajumbe wa Mkutano Mkuu leo April 05, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa…